Filters

Results Clear all

Mkoa

Mkoa

Make

Make

Model

Model

Condition

Condition

Body-Type

Body-Type

Drive Type

Drive Type

Transmission

Transmission

Fuel Type

Fuel Type

Cylinders

Cylinders

Color

Color

Doors

Doors

Sifa Nyingine

Sifa Nyingine
Clear all
More filters
20 Results
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba E
Android radio, good condition, leather seats hilux 2017 2gd ...
TSh 78,800,000
2017 • Namba E • Diesel
Dar es salaam
Automatic
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Mpya (0KM) Unregistered
Brand new 2025 toyota hilux 2.8 diesel automatic 4x4 full op...
TSh 94,000,000
2022 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Automatic
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Toyota hilux gr sport 🍷 year 2023 2.4cc 50,000km speed 200✅ ...
TSh 145,000,000
2023 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Automatic
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Unregistered
Toyota hilux pick up double cabin status:unregistered yom:20...
TSh 130,000,000
2023 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Nissan Navara For Sale In Dar es salaam Used Hapa Tanzania Namba C
Gari iko vizuri condition ya bodies nzuri na interior ni nzu...
TSh 15,000,000
2006 • Namba C • Diesel
Dar es salaam
Manual
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota hilux pick up single cab yom:2012 engine:1kd fuel:die...
TSh 36,500,000
2012 • Namba D • Diesel
Dar es salaam
Manual
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
2019 toyota hilux active 2.4 4x4 4wd manual diesel 2400cc 4w...
TSh 95,000,000
2019 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Automatic
Ford Ranger New Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Ford ranger 2014 2.2 xlt hi-rider double cab maili 229,085km...
TSh 39,400,000
2014 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Mpya (0KM) Unregistered
Mimi ndo muhusika halali wa gari na gari yangu nimeichukua b...
TSh 190,000,000
2024 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Automatic
Toyota Land Cruiser 79 Pickup New Model For Sale In Dar es salaam Used Hapa Tanzania Namba D
Toyota landcruiser pickup reg.....dpz yom 2017 1vd engine di...
TSh 90,000,000
2017 • Namba D • Diesel
Dar es salaam
Manual
JAC T8 New Model For Sale In Dar es salaam Mpya Kabisa (0KM) Unregistered
Gari jipya kabisa lijawahi tumia 0km ni kampuni am ayo gari ...
TSh 77,000,000
2025 • Not-Reg
Dar es salaam
Manual
Toyota Hilux New Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Make: toyota hilux invincible x mwaka: 2023 engine capacity:...
TSh 125,000,000
2023 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Automatic

Bei Za Magari Tanzania

Kwa mtazamo wa Tanzania nzima, magari yaliyopo sokoni huanzia takribani TSh 3M kwa magari madogo ya matumizi ya kila siku na kufika hadi TSh 750M kwa SUV kubwa, 4x4 na magari ya kifahari ya kiwango cha showroom.

Magari tunayoyaona sokoni huwa ya miaka mbalimbali, kuanzia takribani 1994 hadi 2025, na wastani wa bei ukiwa TSh 53.2M. Magari used ya miaka ya nyuma huwa nafuu zaidi, wakati magari ya miaka mipya, yenye mileage ndogo na yaliyokaribia ubora wa magari ya showroom bei huwa juu zaidi.

Pia aina ya usajili wa plate namba ya gari una athari kubwa kwenye bei. Magari ambayo hayajasajiliwa lakini ushuru wote umelipwa mara nyingi huwa na bei ya juu zaidi, karibu sawa na bei za gari hii showroom Dar es salaam. Magari yenye namba kama Namba E, D, C, B au A huwa bei nafuu, na kadiri herufi inavyoshuka (kwa mfano kutoka E kwenda A) ndivyo bei za magari inavyopungua.

Badala ya kutegemea showroom moja au maelezo ya muuzaji mmoja pekee, tumia GariPesa kulinganisha magari used na magari yaliyo karibu na kiwango cha showroom kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, ili ufanye maamuzi ya bei kwa ujasiri zaidi.

Magari Yanayouzwa Tanzania. Tembelea orodha ya magari kutoka kwa wauzaji mbalimbali wenye bei na viwango tofauti, yote yakiwa yamekusanywa kwenye GariPesa kwa wanunuzi wa Tanzania. Tumia vichujio vilivyo juu kuchagua make, model, mwaka na bajeti inayokufaa.

Maswali Yaulizwayo Tanzania Sana Kuhusu Kununua Gari Kupitia GariPesa (FAQ)

Je GariPesa ni jukwaa gani na linasaidiaje kwenye kununua au kuuza gari?

GariPesa ni soko la mtandaoni la magari linalokuunganisha moja kwa moja na wauzaji na wanunuzi nchini Tanzania. Unaweza kutafuta magari kwa Make, Model, Mkoa, bei na vigezo vingine, kisha kuwasiliana na muuzaji kupitia simu au WhatsApp.

Je ninatakiwa kufanya nini kabla ya kuamua kununua gari lililotangazwa kwenye GariPesa?

Kabla ya kuamua kununua, hakikisha unakagua gari kwa macho, kufanyiwa ukaguzi na fundi, kuangalia historia ya matengenezo na nyaraka kama kadi ya gari na mkataba sahihi. Epuka kutuma pesa bila kumwona muuzaji ana kwa ana kwenye eneo salama.

Je GariPesa inahusika kwenye miamala ya fedha kati ya mnunuzi na muuzaji?

Kwa sasa GariPesa ni jukwaa la matangazo na halishiki fedha kwa niaba ya wanunuzi au wauzaji. Malipo hufanyika moja kwa moja kati ya pande mbili. Tunashauri kila upande kufuata taratibu za usalama, mikataba iliyoandikwa na kukutana maeneo salama.

Je ninawezaje kupunguza hatari ya udanganyifu (scam) ninapotumia majukwaa ya magari mtandaoni?

Epuka ofa ambazo zinaonekana nzuri sana kuliko kawaida, usitume pesa bila kuliona gari na kumbukumbu kamili, na usikubali kushawishiwa kukutana maeneo hatarishi. Tumia mawasiliano rasmi na uhakikishe jina kwenye malipo linaendana na maelezo ya muuzaji.

Je ninaweza kupata magari yanayolingana na bajeti yangu kwa urahisi kwenye GariPesa?

Ndiyo, unaweza kutumia vichujio kama bei ya chini na ya juu, mwaka wa uzalishaji, hali ya gari na Mkoa ili kuona magari yanayolingana na bajeti na mahitaji yako. Unaweza pia kulinganisha matangazo kadhaa ya modeli moja kabla ya kuamua.

Largest Online Car Market in Tanzania
Copyright © 2025. All rights reserved.