Filters

Results Clear all

Mkoa

Mkoa

Make

Make

Model

Model

Condition

Condition

Body-Type

Body-Type

Drive Type

Drive Type

Transmission

Transmission

Fuel Type

Fuel Type

Cylinders

Cylinders

Color

Color

Doors

Doors

Sifa Nyingine

Sifa Nyingine
Clear all
More filters
147 Results
Toyota Premio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Premio old model (bukoba) year 2000 engine model 4a engine c...
TSh 15,000,000
2000 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Mark II For Sale In Arusha Used Tanzania Namba B
Toyota mark11 gx110 beams2000 full ac bei 4.5m chapu arusha ...
TSh 4,500,000
2004 • Namba B • Petrol
Arusha
Automatic
Toyota Crown For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Gari ni mpya sana tairi zote mpya, km chache, gari ni pana n...
TSh 24,000,000
2007 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Premio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota premio 2005 namba d 📍mwanza price:9.8m haina shida yo...
TSh 9,800,000
2005 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Crown For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota crown athlete for sale – namba d (clean)toyota crown ...
TSh 13,500,000
2005 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Brevis For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota brevis – for sale plate: d | condition: clean | no en...
TSh 6,500,000
2009 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Brevis For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota brevis used from tanzania 📍mwanza automatic karibu sa...
TSh 6,500,000
2009 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Crown New Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Toyota crown new model hybrid mwaka 2014/15 kilometre 64+ sp...
TSh 68,000,000
2015 • Not-Reg • Hybrid
Dar es salaam
Automatic
Toyota Crown For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Toyota crown athlete year : 2008 engine size : 2360cc low mi...
TSh 26,000,000
2008 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Crown For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Toyota crown athlete year : 2008 engine size : 2490cc low mi...
TSh 25,800,000
2008 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Crown For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
✨ toyota crown ✨ toyota crown – 2009 model (trd) 🔹 make &amp...
TSh 26,900,000
2009 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Benz E-Class New Model For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba E
Mercedes benz e class engine: 1,990cc year: 2017 upgraded to...
TSh 58,000,000
2017 • Namba E • Petrol
Dar es salaam
Automatic

Bei Za Magari Tanzania

Kwa mtazamo wa Tanzania nzima, magari yaliyopo sokoni huanzia takribani TSh 3M kwa magari madogo ya matumizi ya kila siku na kufika hadi TSh 750M kwa SUV kubwa, 4x4 na magari ya kifahari ya kiwango cha showroom.

Magari tunayoyaona sokoni huwa ya miaka mbalimbali, kuanzia takribani 1994 hadi 2025, na wastani wa bei ukiwa TSh 53.2M. Magari used ya miaka ya nyuma huwa nafuu zaidi, wakati magari ya miaka mipya, yenye mileage ndogo na yaliyokaribia ubora wa magari ya showroom bei huwa juu zaidi.

Pia aina ya usajili wa plate namba ya gari una athari kubwa kwenye bei. Magari ambayo hayajasajiliwa lakini ushuru wote umelipwa mara nyingi huwa na bei ya juu zaidi, karibu sawa na bei za gari hii showroom Dar es salaam. Magari yenye namba kama Namba E, D, C, B au A huwa bei nafuu, na kadiri herufi inavyoshuka (kwa mfano kutoka E kwenda A) ndivyo bei za magari inavyopungua.

Badala ya kutegemea showroom moja au maelezo ya muuzaji mmoja pekee, tumia GariPesa kulinganisha magari used na magari yaliyo karibu na kiwango cha showroom kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, ili ufanye maamuzi ya bei kwa ujasiri zaidi.

Magari Yanayouzwa Tanzania. Tembelea orodha ya magari kutoka kwa wauzaji mbalimbali wenye bei na viwango tofauti, yote yakiwa yamekusanywa kwenye GariPesa kwa wanunuzi wa Tanzania. Tumia vichujio vilivyo juu kuchagua make, model, mwaka na bajeti inayokufaa.

Maswali Yaulizwayo Tanzania Sana Kuhusu Kununua Gari Kupitia GariPesa (FAQ)

Je GariPesa ni jukwaa gani na linasaidiaje kwenye kununua au kuuza gari?

GariPesa ni soko la mtandaoni la magari linalokuunganisha moja kwa moja na wauzaji na wanunuzi nchini Tanzania. Unaweza kutafuta magari kwa Make, Model, Mkoa, bei na vigezo vingine, kisha kuwasiliana na muuzaji kupitia simu au WhatsApp.

Je ninatakiwa kufanya nini kabla ya kuamua kununua gari lililotangazwa kwenye GariPesa?

Kabla ya kuamua kununua, hakikisha unakagua gari kwa macho, kufanyiwa ukaguzi na fundi, kuangalia historia ya matengenezo na nyaraka kama kadi ya gari na mkataba sahihi. Epuka kutuma pesa bila kumwona muuzaji ana kwa ana kwenye eneo salama.

Je GariPesa inahusika kwenye miamala ya fedha kati ya mnunuzi na muuzaji?

Kwa sasa GariPesa ni jukwaa la matangazo na halishiki fedha kwa niaba ya wanunuzi au wauzaji. Malipo hufanyika moja kwa moja kati ya pande mbili. Tunashauri kila upande kufuata taratibu za usalama, mikataba iliyoandikwa na kukutana maeneo salama.

Je ninawezaje kupunguza hatari ya udanganyifu (scam) ninapotumia majukwaa ya magari mtandaoni?

Epuka ofa ambazo zinaonekana nzuri sana kuliko kawaida, usitume pesa bila kuliona gari na kumbukumbu kamili, na usikubali kushawishiwa kukutana maeneo hatarishi. Tumia mawasiliano rasmi na uhakikishe jina kwenye malipo linaendana na maelezo ya muuzaji.

Je ninaweza kupata magari yanayolingana na bajeti yangu kwa urahisi kwenye GariPesa?

Ndiyo, unaweza kutumia vichujio kama bei ya chini na ya juu, mwaka wa uzalishaji, hali ya gari na Mkoa ili kuona magari yanayolingana na bajeti na mahitaji yako. Unaweza pia kulinganisha matangazo kadhaa ya modeli moja kabla ya kuamua.

Largest Online Car Market in Tanzania
Copyright © 2025. All rights reserved.