Filters

Results Clear all

Mkoa

Mkoa

Make

Make

Model

Model

Condition

Condition

Body-Type

Body-Type

Drive Type

Drive Type

Transmission

Transmission

Fuel Type

Fuel Type

Cylinders

Cylinders

Color

Color

Doors

Doors

Sifa Nyingine

Sifa Nyingine
Clear all
More filters
25 Results
Toyota Nadia For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Nadia engine 3s haina kipengele, 6.5ml maongezi kidogo. Njoo...
TSh 6,500,000
2001 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Arusha Used Tanzania Namba D
Spacio new ya kati cc 1490 full ac gari nzuri sana seats 7 l...
TSh 14,500,000
2003 • Namba D • Petrol
Arusha
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba C
Gari imetunzwa engine mpya gearbox mpya full ac option ya ma...
TSh 9,000,000
2004 • Namba C • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Spacio nzima sana full a/c kokote inakwenda bei; 9.5ml net ....
TSh 9,500,000
2004 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Sienta For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Toyota. Sienta cc1490 automatic petrol year 2004 bei. 17.5 m...
TSh 17,500,000
2006 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Sienta For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Toyota sienta engine 1nz cc1490 no ac full documents inauzwa...
TSh 7,900,000
2005 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba B
Spacio new bunduki bei milion 5.5milion kwake gar nzur no ki...
TSh 5,500,000
2000 • Namba B • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba C
Gari nzuri safari popote cc1490 bei 6.5
TSh 6,500,000
2001 • Namba C • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba E
Spacio new bei million 16.5 engine 1zz cc 1790 full ac full ...
TSh 16,500,000
2003 • Namba E • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Arusha Used Tanzania Namba C
Toyota spacio newmodel injini ndogo bei nzuri inataka 6.9m i...
TSh 6,900,000
2003 • Namba C • Petrol
Arusha
Automatic
Toyota Sienta For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Sienta 2007 price:17.9m smal discount📍dsm 👉🏼📞0785-323353 hup...
TSh 17,900,000
2007 • Not-Reg • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Toyota Spacio For Sale In Arusha Used Tanzania Namba D
Spacio nzuri
TSh 17,000,000
2007 • Namba D • Petrol
Arusha
Automatic

Bei Za Magari Tanzania

Kwa mtazamo wa Tanzania nzima, magari yaliyopo sokoni huanzia takribani TSh 3M kwa magari madogo ya matumizi ya kila siku na kufika hadi TSh 750M kwa SUV kubwa, 4x4 na magari ya kifahari ya kiwango cha showroom.

Magari tunayoyaona sokoni huwa ya miaka mbalimbali, kuanzia takribani 1994 hadi 2025, na wastani wa bei ukiwa TSh 53.2M. Magari used ya miaka ya nyuma huwa nafuu zaidi, wakati magari ya miaka mipya, yenye mileage ndogo na yaliyokaribia ubora wa magari ya showroom bei huwa juu zaidi.

Pia aina ya usajili wa plate namba ya gari una athari kubwa kwenye bei. Magari ambayo hayajasajiliwa lakini ushuru wote umelipwa mara nyingi huwa na bei ya juu zaidi, karibu sawa na bei za gari hii showroom Dar es salaam. Magari yenye namba kama Namba E, D, C, B au A huwa bei nafuu, na kadiri herufi inavyoshuka (kwa mfano kutoka E kwenda A) ndivyo bei za magari inavyopungua.

Badala ya kutegemea showroom moja au maelezo ya muuzaji mmoja pekee, tumia GariPesa kulinganisha magari used na magari yaliyo karibu na kiwango cha showroom kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, ili ufanye maamuzi ya bei kwa ujasiri zaidi.

Magari Yanayouzwa Tanzania. Tembelea orodha ya magari kutoka kwa wauzaji mbalimbali wenye bei na viwango tofauti, yote yakiwa yamekusanywa kwenye GariPesa kwa wanunuzi wa Tanzania. Tumia vichujio vilivyo juu kuchagua make, model, mwaka na bajeti inayokufaa.

Maswali Yaulizwayo Tanzania Sana Kuhusu Kununua Gari Kupitia GariPesa (FAQ)

Je GariPesa ni jukwaa gani na linasaidiaje kwenye kununua au kuuza gari?

GariPesa ni soko la mtandaoni la magari linalokuunganisha moja kwa moja na wauzaji na wanunuzi nchini Tanzania. Unaweza kutafuta magari kwa Make, Model, Mkoa, bei na vigezo vingine, kisha kuwasiliana na muuzaji kupitia simu au WhatsApp.

Je ninatakiwa kufanya nini kabla ya kuamua kununua gari lililotangazwa kwenye GariPesa?

Kabla ya kuamua kununua, hakikisha unakagua gari kwa macho, kufanyiwa ukaguzi na fundi, kuangalia historia ya matengenezo na nyaraka kama kadi ya gari na mkataba sahihi. Epuka kutuma pesa bila kumwona muuzaji ana kwa ana kwenye eneo salama.

Je GariPesa inahusika kwenye miamala ya fedha kati ya mnunuzi na muuzaji?

Kwa sasa GariPesa ni jukwaa la matangazo na halishiki fedha kwa niaba ya wanunuzi au wauzaji. Malipo hufanyika moja kwa moja kati ya pande mbili. Tunashauri kila upande kufuata taratibu za usalama, mikataba iliyoandikwa na kukutana maeneo salama.

Je ninawezaje kupunguza hatari ya udanganyifu (scam) ninapotumia majukwaa ya magari mtandaoni?

Epuka ofa ambazo zinaonekana nzuri sana kuliko kawaida, usitume pesa bila kuliona gari na kumbukumbu kamili, na usikubali kushawishiwa kukutana maeneo hatarishi. Tumia mawasiliano rasmi na uhakikishe jina kwenye malipo linaendana na maelezo ya muuzaji.

Je ninaweza kupata magari yanayolingana na bajeti yangu kwa urahisi kwenye GariPesa?

Ndiyo, unaweza kutumia vichujio kama bei ya chini na ya juu, mwaka wa uzalishaji, hali ya gari na Mkoa ili kuona magari yanayolingana na bajeti na mahitaji yako. Unaweza pia kulinganisha matangazo kadhaa ya modeli moja kabla ya kuamua.

Largest Online Car Market in Tanzania
Copyright © 2025. All rights reserved.