Filters

Results Clear all

Mkoa

Mkoa

Make

Make

Model

Model

Condition

Condition

Body-Type

Body-Type

Drive Type

Drive Type

Transmission

Transmission

Fuel Type

Fuel Type

Cylinders

Cylinders

Color

Color

Doors

Doors

Sifa Nyingine

Sifa Nyingine
Clear all
More filters
34 Results
Scania 124 For Sale In Arusha Used Tanzania Namba E
Scania 124 ipo iringa makambako gari ipo njiani cabin number...
TSh 90,000,000
2004 • Namba E • Diesel
Arusha
Manual
Toyota LiteAce Truck For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba C
Gari full document ni kuwasha na kuondoka
TSh 14,000,000
2009 • Namba C • Petrol
Dar es salaam
Manual
Mitsubishi Fuso For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Mali mpya...👇🏽 fuso 6d16 turbo ndogo milioni 110 net+ ushuru...
TSh 110,000,000
2000 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Scania 113 Old Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
1996 scania 113 27,000 usd cif 67,000,000 tsh 513,166 kilome...
TSh 140,000,000
1996 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Mitsubishi Canter For Sale In Shinyanga Used Tanzania Namba C
Engine 4d31 mtumba kavu kabisa ya kuwasha na kwenda inabeba ...
TSh 18,500,000
2001 • Namba C
Shinyanga
Manual
Scania 124 For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
2001 scania 124 420 pde 6x2 tractor unit pde 2 fuel pipe 12 ...
TSh 150,000,000
2001 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Mitsubishi Fuso Old Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Cif $20,000 up to dar es salaam port 1994 mitsubishi fuso fi...
TSh 85,300,000
1994 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Toyota LiteAce Truck Old Model For Sale In Dar es salaam Used Tanzania Namba D
Gari imetunzwa vizuri ina tairi mpya na ina engine yenye ngu...
TSh 14,500,000
1998 • Namba D • Petrol
Dar es salaam
Automatic
Scania 124 For Sale In Arusha Used Tanzania Namba D
12 speed manual sleeper cab 8x2 rear lift 28ft closed box bo...
TSh 75,000,000
2007 • Namba D • Diesel
Arusha
Semi-Auto
Mitsubishi Canter Old Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
Engine: 4d33 mileage: 228,000km loading capacity: 3000kg goo...
TSh 57,000,000
1997 • Not-Reg • Diesel
Dar es salaam
Manual
Suzuki Carry Old Model For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Namba E
New tire, used only 8 months in tanzania,the price drop from...
TSh 9,000,000
1998 • Namba E • Petrol
Dar es salaam
Manual
Mitsubishi Fuso For Sale In Dar es salaam Used Nje Ya Nchi Unregistered
🚛 mitsubishi fuso long base – tshs 125,000,000 🚛 ✔️ model: m...
TSh 125,000,000
2000 • Not-Reg
Dar es salaam
Manual

Bei Za Magari Tanzania

Kwa mtazamo wa Tanzania nzima, magari yaliyopo sokoni huanzia takribani TSh 3M kwa magari madogo ya matumizi ya kila siku na kufika hadi TSh 750M kwa SUV kubwa, 4x4 na magari ya kifahari ya kiwango cha showroom.

Magari tunayoyaona sokoni huwa ya miaka mbalimbali, kuanzia takribani 1994 hadi 2025, na wastani wa bei ukiwa TSh 53.2M. Magari used ya miaka ya nyuma huwa nafuu zaidi, wakati magari ya miaka mipya, yenye mileage ndogo na yaliyokaribia ubora wa magari ya showroom bei huwa juu zaidi.

Pia aina ya usajili wa plate namba ya gari una athari kubwa kwenye bei. Magari ambayo hayajasajiliwa lakini ushuru wote umelipwa mara nyingi huwa na bei ya juu zaidi, karibu sawa na bei za gari hii showroom Dar es salaam. Magari yenye namba kama Namba E, D, C, B au A huwa bei nafuu, na kadiri herufi inavyoshuka (kwa mfano kutoka E kwenda A) ndivyo bei za magari inavyopungua.

Badala ya kutegemea showroom moja au maelezo ya muuzaji mmoja pekee, tumia GariPesa kulinganisha magari used na magari yaliyo karibu na kiwango cha showroom kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, ili ufanye maamuzi ya bei kwa ujasiri zaidi.

Magari Yanayouzwa Tanzania. Tembelea orodha ya magari kutoka kwa wauzaji mbalimbali wenye bei na viwango tofauti, yote yakiwa yamekusanywa kwenye GariPesa kwa wanunuzi wa Tanzania. Tumia vichujio vilivyo juu kuchagua make, model, mwaka na bajeti inayokufaa.

Maswali Yaulizwayo Tanzania Sana Kuhusu Kununua Gari Kupitia GariPesa (FAQ)

Je GariPesa ni jukwaa gani na linasaidiaje kwenye kununua au kuuza gari?

GariPesa ni soko la mtandaoni la magari linalokuunganisha moja kwa moja na wauzaji na wanunuzi nchini Tanzania. Unaweza kutafuta magari kwa Make, Model, Mkoa, bei na vigezo vingine, kisha kuwasiliana na muuzaji kupitia simu au WhatsApp.

Je ninatakiwa kufanya nini kabla ya kuamua kununua gari lililotangazwa kwenye GariPesa?

Kabla ya kuamua kununua, hakikisha unakagua gari kwa macho, kufanyiwa ukaguzi na fundi, kuangalia historia ya matengenezo na nyaraka kama kadi ya gari na mkataba sahihi. Epuka kutuma pesa bila kumwona muuzaji ana kwa ana kwenye eneo salama.

Je GariPesa inahusika kwenye miamala ya fedha kati ya mnunuzi na muuzaji?

Kwa sasa GariPesa ni jukwaa la matangazo na halishiki fedha kwa niaba ya wanunuzi au wauzaji. Malipo hufanyika moja kwa moja kati ya pande mbili. Tunashauri kila upande kufuata taratibu za usalama, mikataba iliyoandikwa na kukutana maeneo salama.

Je ninawezaje kupunguza hatari ya udanganyifu (scam) ninapotumia majukwaa ya magari mtandaoni?

Epuka ofa ambazo zinaonekana nzuri sana kuliko kawaida, usitume pesa bila kuliona gari na kumbukumbu kamili, na usikubali kushawishiwa kukutana maeneo hatarishi. Tumia mawasiliano rasmi na uhakikishe jina kwenye malipo linaendana na maelezo ya muuzaji.

Je ninaweza kupata magari yanayolingana na bajeti yangu kwa urahisi kwenye GariPesa?

Ndiyo, unaweza kutumia vichujio kama bei ya chini na ya juu, mwaka wa uzalishaji, hali ya gari na Mkoa ili kuona magari yanayolingana na bajeti na mahitaji yako. Unaweza pia kulinganisha matangazo kadhaa ya modeli moja kabla ya kuamua.

Largest Online Car Market in Tanzania
Copyright © 2025. All rights reserved.