Wasiliana Na Wauzaji Wa Magari

Kabla hujaanza mawasiliano na muuzaji yoyote wa magari, chukua tahadhari  5 muhimu Kujilinda na Utapeli:

  1. Kagua Utambulisho na Nyaraka
    Hakikisha logbook, namba ya cheses/injini na kitambulisho cha muuzaji vinawiana.

  2. Kagua Gari Mwenyewe
    Lione kwa macho, lifanyie majaribio na ikiwezekana leta fundi alikague.

  3. Usilipe Kabla ya Kuona Gari
    Hakikisha umeona gari, umekagua, umeridhika, ndo ulipie.

  4. Kutana Sehemu Salama
    Panga kuonana kwenye maeneo ya wazi na yenye ulinzi, na siyo sehemu za faragha.

  5. Andika Makubaliano
    Tumia mkataba wa mauzo na shirikisha shahidi au wakili inapowezekana.

GariPesa inawaunganisha wanunuzi na wauzaji wa magari lakini haita husika na malipo wala muamala wowote baina yao.

Return to Listing
Largest Online Car Market in Tanzania
Copyright © 2025. All rights reserved.