Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi za kisasa.
Badili gari kuwa pesa! 📉💰 Iwe unataka kuuza gari au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na uone gari lako likigeuka kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.