







Bei ya muuzaji: TSh 17,500,000
Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 2005 inauzwa. Ina injini ya 990cc, imetembea kilomita 60,500 na ina rangi ya silver. Gari hii ina radio smart, sport rims na matairi mapya. Imeingizwa kutoka nje ya nchi na bado haijasajiliwa.
Business Seller β’ Matangazo 36 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.