Maelfu Tayari Wameuza Magari Yao Kupitia GariPesa. Usipoteze Muda Chagua Njia Inayokufaa:
Weka tangazo lako GariPesa na upokee simu na WhatsApp kutoka kwa wanunuzi.
Kama unahitaji pesa ya haraka, tuma taarifa za gari lako tutalinunua papo hapo.
Tumia kadi ya gari lako kama dhamana ya mkopo na uendelee kulitumia.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.