









Bei ya muuzaji: TSh 18,500,000
Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 2008, injini 650cc, imetembea kilomita 57,000. Gari hii ni automatic, imeingizwa kutoka Japan na ipo katika hali nzuri. Rangi yake ni nyeupe na bado haijasajiliwa.
Business Seller β’ Matangazo 34 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.