









Bei ya muuzaji: TSh 80,000,000
Jeep Wrangler Sahara ya mwaka 2013, rangi ya silver, inauzwa kwa TZS 80,000,000. Ina injini ya Petroli ya 3.0L (6-Cylinders) na mfumo wa 4×4. Gari hili lina milango 4, radio janja, viti vya ngozi, rimu za spoti na matairi mapya, mambo ya ndani safi na paa linalofunguka. Haijasajiliwa.
Business Seller • Matangazo 25 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.