









Bei ya muuzaji: TSh 175,000,000
Toyota Land Cruiser VX.R ya mwaka 2017 inauzwa. Gari hili la kifahari lina injini ya Diesel 4500cc V8 Twin Turbo na Automatic transmission, likiwa limetembea kilomita 90,000. Lilinunuliwa jipya kutoka Toyota Tanzania na lina rangi ya Beige Metallic. Linakuja na sifa kama viti vya ngozi, sunroof, push start, na uwezo wa kubeba abiria 7.
Business Seller • Matangazo 32 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.