



















Bei ya muuzaji: TSh 68,800,000
Benz C-Class C 220 D ya mwaka 2018, injini ya dizeli 2.2L, rangi nyeupe. Gari hili lina viti vya ngozi na rimu za michezo, liko katika hali nzuri na halijasajiliwa Tanzania.
Business Seller β’ Matangazo 8 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.