





Bei ya muuzaji: TSh 70,000,000
Benz S-Class S400 Hybrid AMG Sports ya mwaka 2014 inauzwa. Gari hili la kifahari lina injini ya 3490cc, Petrol/Hybrid, Automatic transmission, na imetembea kilomita 90,600. Rangi yake ni nyeupe na bado haijasajiliwa nchini. Bei ni TZS 70,000,000 pamoja na usajili.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.