









Bei ya muuzaji: TSh 26,800,000
Volvo XC60 T5 ya mwaka takriban 2010 inauzwa. Ina injini ya petroli ya 1990cc na gia otomatiki. Gari hili la rangi nyeusi lina viti vya ngozi na full options. Iko katika hali nzuri na imesajiliwa Namba E. Bei ni milioni 26.8, maongezi yapo.
Business Seller • Matangazo 11 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.