









Bei ya muuzaji: TSh 2,400,000
Toyota Starlet ya mwaka 1993 inauzwa. Ina injini ya 4E, gia safi na ina milango 5. Rangi yake ni bluu na imetumika Tanzania. Bei ni shilingi milioni 2.4.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.