









Bei ya muuzaji: TSh 19,800,000
Toyota Raum ya mwaka 2006, yenye usafiri wa kiotomatiki (Automatic Transmission). Gari hili lina AC kamili, nafasi kubwa ya ndani, na liko katika hali safi na tayari kuendeshwa. Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.