









Bei ya muuzaji: TSh 24,500,000
Toyota Ractis ya mwaka 2015, injini 1490cc, imetembea kilomita 53,500. Gari hii ina panoramic sunroof, viti vya ngozi, smart stop, na sensor za kuegesha. Ina gia otomatiki na inauzwa milioni 24.5 pamoja na usajili.
Business Seller • Matangazo 17 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.