









Bei ya muuzaji: TSh 21,500,000
Toyota Noah ya mwaka 2000, chassis SR40, inauzwa. Ina injini ya 3S (Petroli, silinda 4, 1998cc) na gia Automatic, ikiwa na mfumo wa Front Wheel Drive. Gari ina AC kamili na rimu za sports. Iko katika hali nzuri na imesajiliwa Zanzibar. Bei ni TZS 21,500,000 pamoja na usajili.
Business Seller β’ Matangazo 9 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.