Toyota Land Cruiser Prado 250 Series ya mwaka 2024, yenye injini ya 2.8L Diesel (2800cc) na mileage ya 6,900km. Ina rangi nyeusi metallic, transmission automatic, na ni gari iliyoingizwa kutoka nje ya nchi, bado haijasajiliwa lakini usajili unatolewa bure. Ina sifa kama wireless charger, kamera ya 360, viti vya ngozi, sunroof, power boot, na usukani wenye full option.
Business Seller • Matangazo 32 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.