





























Bei ya muuzaji: TSh 125,000,000
Toyota Land Cruiser Prado 150 Edition ya mwaka 2022 inauzwa. Gari hii ina mileage ya kilomita 21,808, injini ya 2TR yenye CC 2670 na silinda 4, na inatumia petroli. Ina paa la wazi, viti vya ngozi, viti vya umeme, na uwezo wa kubeba abiria saba. Imeandikishwa namba E (T792 ELD) na ina Automatic transmission. Imeingia nchini ikiwa na kilomita 17,000.
Business Seller β’ Matangazo 136 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.