









Bei ya muuzaji: TSh 85,000,000
Toyota Land Cruiser Hardtop ya mwaka 2008 inauzwa. Ina injini ya 1HZ yenye uwezo wa 4.2L, inatumia Dizeli na ina mfumo wa 4WD. Gari hili lina gia ya Manual, coil springs, viti vya ngozi, na rimu za alloy zenye matairi mapya. Bei ni TZS 85,000,000, ikiwa ni pamoja na usajili.
Business Seller β’ Matangazo 13 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.