





















Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 340,000,000
Toyota Land Cruiser ZX ya mwaka 2023, injini 3.3L Diesel, imetembea kilomita 10,000 tu. Ina mfumo wa 4WD na Automatic Transmission. Gari hili jeupe lina full options ikiwemo push start, kamera za 360, vioo vya pembeni vyenye winker, multimedia touch screen, sunroof, power boot, viti vya ngozi na marekebisho ya umeme, pamoja na sports rims na matairi mapya. Bei ni TZS 340,000,000.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.