









Bei ya muuzaji: TSh 20,000,000
Toyota Hilux pickup ya mwaka 2004, injini ya dizeli 3.0L. Ina AC kamili na gia ya sakafu (manual). Gari hili linaonekana kama jipya ndani na nje, na limekaza chini. Imeandikishwa Tanzania kwa namba T493 BMP. Inauzwa kwa shilingi milioni 20.
Business Seller β’ Matangazo 4 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.