









Bei ya muuzaji: TSh 5,000,000
Toyota Funcargo ya mwaka 2002, rangi ya Silver, inauzwa kwa milioni 5. Gari hili lina usajili Namba B (T154 BYR), lina milango 5, injini ya Petroli takriban 1300cc na transmission Automatic. Imetumika Tanzania na ina A/C, injini na gearbox safi.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.