









Bei ya muuzaji: TSh 7,700,000
Toyota Altezza ya mwaka 2000, yenye CC 1980 na rangi nyeusi. Gari imetunzwa vizuri na iko katika hali nzuri, ikiwa na hati kamili na AC kamili. Inauzwa kwa bei ya 7.7 milioni.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.