









Bei ya muuzaji: TSh 4,500,000
Suzuki Escudo V6 ya mwaka 2002 inauzwa kwa milioni 4.5. Gari ina injini safi ya V6, gia otomatiki, na mfumo wa kuendesha wa 4×4. Ina AC kamili na imesajiliwa Namba C. Inatumia petroli na ina milango 5.
Business Seller β’ Matangazo 50 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.