









Bei ya muuzaji: TSh 16,700,000
Peugeot 2008 ya mwaka 2013, rangi nyeupe, inauzwa kwa 16.7 Milioni. Ina injini ya petroli 1290cc, Automatic transmission, na imetembea 87,994KM. Gari hili lina namba ya usajili T365 EFM na lipo katika hali nzuri, likiwa na sifa kama ‘push to start’, kioo cha navigator, AC kamili, vioo vya pembeni vyenye winker, tairi mpya, na sport rim.
Business Seller β’ Matangazo 34 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.