









Bei ya muuzaji: TSh 13,000,000
Nissan Qashqai (Dualis) nyeusi ya mwaka 2010 inauzwa Dar es Salaam. Gari ina namba ya usajili T566 EDA, inatumia petroli na ina automatic transmission. Ina milango 5 na injini ya 2000cc. Bei ni milioni 13.
Business Seller β’ Matangazo 4 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.