l1bs3zu4f351t1hv1w71vkdcamgswr










Mazda CX-5 ya mwaka 2015, injini CC 2160,…
Mazda CX-5 ya mwaka 2015, injini CC 2160, inauzwa kwa TZS 26,000,000. Gari ina rangi nyeusi, matairi mapya, sportrim, AC kamili, Android TV na music system kali. Ina namba E na nyaraka zake zote zimekamilika.
Business Seller • Matangazo 4 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Magari mengine ya SUV yanayouzwa Tanzania: Toyota Rav4, Toyota Land Cruiser Prado, Toyota Land Cruiser V8, BMW X3, Toyota Harrier, Mitsubishi RVR, Land Rover Range Rover Sport, Subaru Forester, Audi Q2, Toyota Vanguard, Toyota Kluger, Daihatsu Terios.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi za kisasa.
Badili gari kuwa pesa! 📉💰 Iwe unataka kuuza gari au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na uone gari lako likigeuka kuwa pesa!
Download GariPesa App
Nunua na uza magari kirahisi kupitia simu yako.