









Bei ya muuzaji: TSh 59,000,000
Isuzu Forward Longbase ya mwaka 2006 inauzwa. Ina injini ya 6HK1 yenye 7790cc, dizeli, turbo na intercooler. Gari ina manual gearbox na imetembea kilomita 61,207. Rangi yake ni pinki. Imesajiliwa Namba E (T*** EJW) na imetumika Tanzania kwa miaka miwili. Ina AC, viti vya joto, kitanda, airbag, power steering na power windows. Nyaraka zote kamili na bima vipo.
Business Seller β’ Matangazo 5 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.