









Bei ya muuzaji: TSh 45,000,000
BMW X1 ya mwaka 2016 inauzwa ikiwa na injini ya 1990cc TwinPower Turbo, inatumia Petroli na ina rangi ya kahawia. Gari hili lina viti vya ngozi, boot ya automatic, kamera ya kurudi nyuma, push to start, na sunroof. Bado haijasajiliwa Tanzania na usajili ni bure.
Business Seller β’ Matangazo 66 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.