









Bei ya muuzaji: TSh 88,000,000
Benz Maybach ya mwaka 2014 inauzwa, ikiwa na injini ya 3.5L Hybrid Petrol na mileage ya 72,000km. Gari hii imeagizwa kutoka nje ya nchi na bado haijasajiliwa, ina rangi nyeusi na fedha. Ina sifa kama viti vya ngozi, sunroof, rimu za michezo na matairi mapya, taa za ambient, na milango ya soft close.
Business Seller β’ Matangazo 11 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.