









Bei ya muuzaji: TSh 95,500,000
Benz Maybach ya mwaka 2014 inauzwa kwa TZS 95,500,000. Gari ina injini ya 3.5L hybrid petroli na imetembea kilomita 72,000. Ina namba ya usajili Namba E, viti vya ngozi, sunroof, rimu za michezo zenye matairi mapya, ambient light na soft close doors. Iko katika hali safi.
Business Seller β’ Matangazo 26 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.