









Bei ya muuzaji: TSh 650,000,000
Benz G63 AMG ya mwaka 2020 inauzwa, ikiwa na injini ya Petroli 4.0L V8 na gia ya Automatic. Imetembea kilometa 16,000 tu, ina mfumo wa 4MATIC All-Wheel Drive, na rangi adimu ya Kahawia. Bei ni TZS 650,000,000, ikijumuisha usajili.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.