









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 130,000,000
Toyota Fortuner ya mwaka 2017, injini ya Diesel 2982cc (3.0L) Turbo D-4D, Automatic transmission na 4WD. Rangi yake ni Metallic Black, ina milango 5. Imeingizwa moja kwa moja kutoka Japan na bado haijasajiliwa. Ina sifa kama viti vya ngozi, push start, kamera ya kurudi nyuma, na mfumo wa infotainment wa touch screen.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.