









Bei ya muuzaji: TSh 21,950,000
Toyota Rumion ya mwaka 2008, rangi nyeusi, imewasili hivi karibuni na kodi zote zimelipwa. Ina injini ya Petroli, Automatic transmission, na milango 5. Gari ina Power Steering, Push Start, interior nyeusi, Sports Rims, Fog Lights, A/C nzuri, na Winker Side Mirror. Bei ni TZS 21,950,000 pamoja na usajili.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.