









Bei ya muuzaji: TSh 45,000,000
Jeep Grand Cherokee ya mwaka 2012, rangi nyeusi, injini ya 3000cc Diesel, imetembea kilomita 82,063. Ipo katika hali nzuri (mint condition) na imesajiliwa Namba E. Ina sifa kama sport rims size 20, sunroof, matairi mapya, viti vya ngozi, mlango wa nyuma wa umeme, kamera ya kurudi nyuma na sensor za kuegesha.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.