









Bei ya muuzaji: TSh 19,800,000
Mazda Titan Truck ya mwaka 2002 inauzwa kwa TZS 19.8 milioni. Ina injini ya 3300cc, gia manual, na imesajiliwa Namba B (T422 BAM). Gari ina AC kamili, matairi mapya manne, na ndani ni safi. Imetunzwa vizuri na ina mileage ya takriban 80,000 km.
Business Seller β’ Matangazo 76 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.