







Bei ya muuzaji: TSh 75,000,000
Suzuki Jimny ya mwaka 2023, rangi ya kijivu, injini ya petroli 1490cc, Automatic, 4WD, na mileage ya kilomita 34,250. Gari hili lina milango 3 na linawasili bandarini kesho. Bei ni shilingi milioni 75.
Business Seller β’ Matangazo 3 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.