





Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 62,800,000
Toyota Alphard Luxury Edition ya mwaka 2016 inauzwa kwa TZS milioni 62.8. Gari hili la kifahari lina injini ya 2490cc na imetembea kilomita 60,000. Ina rangi nyeupe ya lulu, double sunroof, viti vya kifahari, milango na buti otomatiki, spika za JBL, na rim za michezo. Ni gari iliyoingizwa kutoka nje na bado haijasajiliwa.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.