
Bei ya muuzaji: TSh 18,500,000
Toyota Aqua ya mwaka 2014, rangi ya bluu, inauzwa kwa milioni 18.5. Ina injini ya 1490cc, automatic transmission, na ni gari ya hybrid. Imeingizwa kutoka nje ya nchi na bado haijasajiliwa.
Business Seller β’ Matangazo 40 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.