









Bei ya muuzaji: TSh 12,500,000
Isuzu Wizard ya mwaka takriban 1997 inauzwa kwa shilingi 12.5 milioni. Gari hili la dizeli lina transmission automatic, AC kamili, radio ya Android, na rimu za sports. Imeishasajiliwa Tanzania ikiwa na namba B.
Business Seller β’ Matangazo 63 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.