









Bei ya muuzaji: TSh 13,500,000
Toyota Axio ya mwaka 2009, rangi ya Silver, inauzwa kwa milioni 13.5. Gari hili lina injini ya 1490cc, Automatic transmission, na inatumia Petrol. Iko na namba ya Tanzania (Namba D), ina milango 4, na iko katika hali nzuri na matairi mapya.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.