









Bei ya muuzaji: TSh 70,000,000
BMW X5 xDrive35d ya mwaka 2015 inauzwa. Ina injini ya 3.0L Diesel, Automatic transmission, na mfumo wa xDrive 4WD. Imetembea kilomita 79,000+, ina rangi nyeupe na usajili Namba E. Gari hili lina paa la panoramic, viti vya ngozi, kamera ya nyuma na 360Β°, pamoja na parking sensors.
Business Seller β’ Matangazo 33 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.