









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 39,800,000
Subaru Forester SJG ya mwaka 2013, yenye injini ya 1,990cc na mileage ya 47,150km. Gari hili la rangi ya Gold (Bronze Metallic) lina Automatic Transmission na milango mitano. Ina sifa kama sunroof, viti vya ngozi, power back door, push-to-start, radio ya Android, kamera ya kurudi nyuma, na mfumo wa EyeSight. Imeingizwa kutoka nje na bei inajumuisha usajili.
Business Seller • Matangazo 37 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.