









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 130,000,000
Toyota Hilux Levo ya mwaka 2019, injini ya 2390cc Diesel, Automatic, na mileage 38,760km. Gari hili la rangi ya Metallic Silver limeagizwa moja kwa moja kutoka Japan na halijasajiliwa Tanzania, ingawa usajili umejumuishwa kwenye bei ya milioni 130. Ina mfumo wa 4WD, rim za aloi, matairi mapya, sensor za kuegesha, redio ya touch screen, na kamera ya kurudi nyuma.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.