









Bei ya muuzaji: TSh 16,800,000
Toyota Blade ya mwaka 2006, rangi ya fedha (metallic silver) ikiwa na mileage ya 90,000km. Inauzwa ikiwa na mfumo mzuri wa muziki na subwoofer, na mambo ya ndani yote yapo katika hali nzuri sana. Gari hii imesajiliwa Tanzania na iko katika hali nzuri sana.
Business Seller • Matangazo 2 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.