









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 31,000,000
Toyota Alphard ya mwaka 2011 inauzwa ikiwa na injini ya 2360cc na imetembea kilomita 58,165. Gari hili jeupe lina paa mbili za kioo (double sunroof), mfumo wa kuwasha kwa kitufe (push to start), na mambo ya ndani ya mbao za kahawia. Bado haijasajiliwa nchini Tanzania.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.