















Bei ya muuzaji: TSh 17,500,000
Toyota Ractis ya mwaka 2006, rangi ya silver, inauzwa kwa TZS 17,500,000 pamoja na usajili. Ina injini ya 1290cc petroli, automatic transmission, na imetembea kilomita 57,660. Gari ina milango 5, AC kamili, sport rims, TV, winker mirrors na push to start. Magari kubadilishana yanakubalika.
Business Seller • Matangazo 53 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.