



















Bei ya muuzaji: TSh 27,800,000
Toyota Vellfire ya mwaka 2010, rangi nyeusi, injini 2AZ (2362cc, silinda 4) inayotumia petroli. Ina milango yote ya umeme na paa la wazi. Gari hili lina viti 8 na limeingizwa kutoka nje ya nchi.
Business Seller • Matangazo 21 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.